Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (900 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
5
Ukubwa
900 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Maelezo
🏡 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA 🏡
Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na iliyopo katika eneo zuri? Hii ndiyo fursa yako!
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 5, vyote Master Bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko la kisasa
✅ Nyumba mpya kabisa
✅ Itakabidhiwa ikiwa imekamilika kikamilifu
📐 Ukubwa wa Eneo: SQM 900+
📄 Hati: Hati ya Wizara
📍 Mahali: Kigamboni – Kibada
* Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
* Kilomita 6 kutoka Feri
* Kilomita 4 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere
💰 Bei: TZS Milioni 600 (Mazungumzo kidogo yapo.)
📞0769554221
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio
📍Service Charge 30,000
Nyumba kigamboni
Viwanja kigamboni
Nyumba kigamboni















