Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bonyokwa, Dar Es Salaam
ID: 260819AGEBLBonyokwa, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 1,000,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
Hii Ni Nyumba Ya Peke Yake Ya Vyumba 3 Vya Master Jiko Sebule Dinning Stoo Full A/c +Sevant Kota Inapangishwa Bei Mil 1 Maeneo Ya Bonyokwa Stand Dar Es Salaam..Umbali Ni Dk 3 Kwenda Stand.
Calls/whatsapp au
Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali











