Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju Mova, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Bunju Mova
Ina Vyumba vitatu vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 500.000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744















