Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam (400 sqm)

Maelezo
✍Apartments zinauzwa.zipo mbili kwenye fensi
✍Na zinawapangaji.1@ Inavyumba vitatu vya kulala
✍kimoja master, sitting room,
✍dinning room,
✍jiko,
✍store na
✍public toilet.
✍Kodi laki 4.5 kwa mwezi. 2@
✍Ina vyumba viwili vya kulala kimoja master,
✍sitting room, na
✍dinning,
✍jiko ,
✍toilet public na
✍store.
🙏kodi laki 3.5 kwa mwezi.
✍Nyumba ipo goba njia nne,
✍Eneo square meters 400,
✍Service charge 50,000/=
✍CALL NO 0687800334 / 0714765041
✍DALALI J FANI PLOTS & APARTMENTS 🙏















