Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ihumwa Elshadai, Dodoma

Ihumwa, Dodoma CBD, Dodoma
8 days ago
Sh. 350,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Uzio
Fence ya Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
NYUMBA YA VYUMBA Vi3 VYA KULALA,DODOMA
MAHALI - IHUMWA ELSHADAI
MALIPO - 350000/=
Muundo
-Nyumba ipo jirani sana na lami
-Full Fance..
-Sebule kubwa..
-Master room kubwa sana..
-Jiko kubwa & ßtore
-Nyumba ni Usalama
Huduma
-Maji yanatoka mda wote🚰
-Umeme unajitegemea🔋
-Electrical Fance inawekwa
-Barabara inafikika🛣️
☎️Contact Whtsap + Calls full time - 0685700555
________________
__________
