Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000/month

Maelezo

🏡 NYUMBA MPYA YA KUPANGISHA – KIGAMBONI KIBADA 🏡

✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Dining room
✅ Jiko kubwa na lenye nafasi ya kutosha
✅ Vyumba vyote ni vikubwa na vyenye mwanga wa kutosha
✅ Nyumba mpya kabisa

📍 Ipo Kigamboni Kibada, karibu na barabara kuu

✨ Sifa za ziada:
✔️ Paving Block
✔️ Maegesho ya magari ya kutosha
✔️ Electric Fence
✔️ Fence ya usalama
✔️ Aluminium za kisasa
✔️ Tiles za kisasa
✔️ Gypsum Ceiling
✔️ Maji safi ya DAWASA na kisima (Tumbi)
✔️ Umeme wa kujitegemea

💰 Kodi: TZS 600,000 kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 6 mbele

💵 Service Charge: TZS 30,000 (Site Visit)

📞 Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni dar_es_salaam fyp viral nyumbazakupangisha 🏠🔥

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam