Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kiluvya Madukani, Pwani









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KILUVYA MADUKANI NSSF #400K
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo masterbedroom sebule dinning jiko na public toilet
Nje kuna eneo kubwa ambalo kama nimfugaji unaweza kuweka hata kuku
Bei 400,000 kwa mwezi × 3
Umbali KM 2 Usafiri boda boda 1500
Site visit 20,000/=
au 0659336751















