Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 550,000

Maelezo

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa/ stoo
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space
------
Service charge 20,000/=
Kodi 550,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
-------
Contact
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Baruti, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Air Conditioning

  • Heater

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Tiles

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Jiko

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea