Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
5m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 5
KUTEMBEA KWA MIGUU KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
Ina vyumba vya kulala vitatu Chumba kimoja ni master bedroom,public toilet Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Ndani ya fensi
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki sita tuu/=
(600,000)
X 6
☎️ +255783990406
#steelbighomes #fyp #tiktokafrica #tiktokkenya















