Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 400,000/month

Maelezo

HIZI NYUMBA ZIPO 4 TU KWENYE FENSI ZINA PANGISHWA ZIKO MBALI MBALI KIMBIA KIMARA MWISHO CHAPU MTEJA DK 10 TU KUTOKA MWENDOKASI

#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA MAKABATI
CHOO NA BAFU VYA FAMILIA

TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA

LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGMEA
MAJI DAWASA NDANI

BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI

NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA

CONTACT
#0676_218580 (WHATSAPP)
0693_673010
Dalali_big_kimara

KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐Ÿ™

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds1 bathhouse