Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
5m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAPANGISHWA – KIMARA TEMBONI DAKIKA 5 KWA MIGUU
Nyumba nzuri inapatikana Kimara Tembo.
📍 Dakika 5 kutoka stand ya Temboni
Maelezo ya nyumba: ✅ Vyumba 3 (kimoja master bedroom)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko kubwa
✅ Public toilet
✅ Umeme na maji
✅ Nyumba inajitegemea
✅ Ipo ndani ya fensi
Kodi 500.000 x miezi 6
Kwenda kuona nyumba ni Tsh 20,000.
Malipo ya udalali:
Mpangaji atamlipa agent kodi ya mwezi mmoja pindi atakapolipia nyumba.
Kwa mawasiliano piga sim















