Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

Location kisiwani

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master sebule dining na jiko kali stand alone

Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba unajitegemea

Asking price 600k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge elfu ishilini

Mawasiliano
0628505896
0763954837