Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbauda, Arusha
Mbauda, Arusha
9 hours ago
Sh. 600,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
Tarehe: 6/8/2026
Arusha
Ina vyumba 3 vyumba kimoja master yakujitegemea
Public toilet
Maji ya Auwsa 24hrs
Car parking space
Mahali mbauda
Mita 500 kutoka . barabara ya lami.
Bei laki 600000/= kwa mwezi
💥Ukipenda nyumba piga simu
👉 Service charge ( kuona nyumba): 15000
MOB: 0782017739.. what's up
0784024000
0767545760
0765615002
Inst: dalali lukumay _arusha







