Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Kwa Msuguli, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
(400,000X6)MBEZI KWA MSUGULI
_______
🇹🇿 VYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA INAPANGISHWA – MBEZI KWA MSUGULI (STAND ALONE)
📍 Mbezi kwa msuguli.
🕘1km umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi msuguli, usafiri ni rahisi sana — Bajaji Tsh 700 ukishuka upo ndani bodaboda Tsh 1,000 mpaka getini njia nzuri inayofikika kwa magari yote ya chini na ya juu.
SIFA ZA NYUMBA.
🔹 Vyumba Vitatu , Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko nzuri sana
🔹Public Toilet ndani
🔹Umeme & Maji vinajitegemea
🔹Fenced & parking Car nzuri sana.
👉Nyumba hii inajitegemea ndani ya fensi yake mwenyewe pindi ulipiapo inafanyiwa ukarabati wa ndani na nje ili kuhakikisha inakuwa kwenye hali nzuri zaidi. Utakapohamia utaikuta ikiwa safi, yenye mvuto na mazingira ya kupendeza
GHARAMA
🔸 Kodi: Tsh 400,000/= × 7 (Miezi saba )
🔸 Malipo ya Dalali: Roony Tsh 600,000/=
🔸 Service Charge: Tsh 20,000/=
#Piga_Simu👇
📞
& WhatsApp
0716223412
0662715781
#FollowUsWhatsApp















