Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
400m — Lami
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
STANDALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MBEZIMWISHO MAGARI 7, MITA 400 TOKA LAMI
__
Vyumba 3 vya kulala, kimoja master
Sebule tamu
Dinning
Jiko la nguvu sana
Parking kubwa
Gardens
Sehemu ya kupunzikia
Choo cha familia
Nje kuna jiko
Ac
Heater
Chumba cha nje
👉🏻👉🏻👉🏻 Mazingira ya nje ni matamu balaaa 🙌
__
Kodi 800,000/= × 7
Dalali mwezi 1
Kuona site 30 elf
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
PIGA SIMU FASTAAAAA















