Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mikwambe Funcity, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000/month

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

Location mikwambe Funcity

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master sebule na jiko kali (unajitegemea)

Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba unajitegemea

Asking price 400k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

Umme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge Elfu ishilini

Mawasiliano
0628505896
0763954837

Matangazo mengine Mikwambe, Dar Es Salaam