Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mkonze, Dodoma

video thumbnail
Mkonze, Dodoma
23 days ago
Sh. 300,000/month

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Barabara ya Lami
Sebule
Dining
Jiko

Maelezo

NYUMBA NZURI INAPANGISHWA – MKONZE, DODOMA šŸ”

Unatafuta nyumba ya kuishi yenye mazingira mazuri na iliyo karibu na barabara ya lami? Hii ndiyo nafasi yako!

šŸ“ Mahali: Mkonze Zahanati, Dodoma

✨ Muundo wa Nyumba
āœ… Vyumba 3 vya kulala
āœ… Chumba 1 ni Master Bedroom
āœ… Sebule kubwa
āœ… Dining
āœ… Jiko zuri lenye makabati

šŸ’° Kodi: TSh 300,000/= kwa mwezi
šŸ“… Malipo: Miezi 4

Huduma Zinazopatikana
āœ”ļø Umeme upo
āœ”ļø Maji yanapatikana muda wote
āœ”ļø Jirani kabisa na barabara ya lami
āœ”ļø Mazingira salama na tulivu

šŸ“ž Mawasiliano
0787 037 986
0757 037 986

Karibuni Bupalu Real Estate – Tunakusaidia kupata nyumba bora kwa bei sahihi.

Matangazo mengine Mkonze, Dodoma