Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Shabaha, Kilimanjaro

video thumbnail
Sh. 200,000/month

Maelezo

๐Ÿ“Habari za leo ndugu mteja wa Nyumba moshi , Nyumba hii ipo kata ya shabaha Moshi , Ina bedrooms 3 moja master sebule jiko dining , Nyumba ni nzuri na ipo na Hali nzuri kama unavyoona , ipo ndani ya uzio wa fense ya ukuta ,
๐Ÿ“nyumba ipo karibia na Barabara ya usafiri wa bajaj za kuja mjini /mbuyuni nauli ni 1,500 tuu hadi mjini /mbuyuni .
๐Ÿ“KARIBU ujipatie Nyumba nzuri na ya kisasa iliyo na Hali nzuri na ubora mzuri
๐Ÿ“Kodi ni 200,000x4 au 6 , kuona Nyumba ni 10,000 MALIPO ya Dalali MWEZI mmoja .

๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž0672701329๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž
#nyumbazakupanga
#dalalimoshi_nyumba
#100millionsviews
#goviral
#foryoupage

Matangazo mengine Kilimanjaro, Kilimanjaro