Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
ID: 26090455BV5

Sinza, Dar Es Salaam
41 minutes ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 500.000 kw mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 3 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme mita yako maji shea
@
No parking
@
KARIBU sanaa OFISINI kwetu sinza lego
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm
@
Namba ya wasp











