Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
3
Barabara ya Karibu
2.5km
Maelezo
Nimehishusha bei sasa 400x6
Stand Alone Inapangishwa ipo temboni kulia kama unaelekea mbezi
Umbali km/2.5 usafiri bajaji ukishuka unatembea dk 7
Inavyumba vitatu vyakulala kimoja mastar Inasebule kubwa sanaaa Inadining pia Inajiko kubwa na pablick toilet mbili
Inatiles gyupsam aluminium
Nyumba hipo ndani ya fensi get litawekwa peving zitawekwa siku zijazo
Kodi 400x6
Kuona nyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Cal
0713 320 608
0686 334 182















