Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bomang'ombe, Kilimanjaro

Kilimanjaro, Kilimanjaro
8 hours ago
Sh. 70,000,000
Maelezo
ππHabari za kwako ndugu mteja wa Nyumba na viwanja WILAYA ya HAI mkoa wa Kilimanjaro , hii hapa ni Nyumba ya familia yenye 3 rooms 1 master sebule , jiko , dining , Nyumba ni ya kisasa ,,INAUZWA
π Nyumba ipo BOMANG'OMBE MJINI
πkaribia na barabara ya lami .....
πBei ya muuzaji ni mil.70 kuona Nyumba 20,000 ,gharama za Dalali ni makubaliano
πKARIBU ππΎππΎππΎππΎ
ππ0672701329ππ
#foryoupage
#goviral
#kilimanjaro
#nyumbazakununua
#boma





