Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Njia ya Boro, Kilimanjaro (0.5 acre)

Kilimanjaro, Kilimanjaro
2 days ago
Sh. 450,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA KALI SANA INAUZWAAAA!!!!!!!! INAUZWA!!!!!!
Nyumba yenye eneo kubwa sana Nusu Heka.
Ina uzio wa ukuta mkubwa pamoja na waya wa umeme/Sequrity fance.
Ukubwa: nyumba ina vyumba vi 2 vikubwa sana, jiko, dinning pamoja na stoo.
Bei: 450M
Eneo nyumba ilipo: Nyuma ya Magereza Barabara ya Arusha ya zamani/ Njia ya Boro.
Wasiliana nami 0625369161





