Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju Tba, Dar Es Salaam (1500 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
1500 SQM
Barabara ya Karibu
2km — Bagamoyo Road
Maelezo
PAGALE LA VYUMBA 3, TZS.180 MILIONI, BUNJU-TBA.
Ni umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Na kilomita 32 kutoka KATIKATI YA MJI.
Ni jirani na Kliniki ya HAEMEDA.
Pagale ni-la vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________zw















