Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi Mzambalauni, Dar Es Salaam

Maelezo
🏡 NYUMBA INAUZWA – CHAMAZI MZAMBALAUNI 🏡
💰 Bei: TSh Milioni 27 Tu
Unatafuta nyumba nzuri kwa bei nafuu? Hii hapa fursa yako!
📍 Eneo: Chamazi Mzambalauni
🚶 Dakika 5 tu kutoka barabara kuu ya lami.
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Chumba 1 Master Bedroom
✅ Sitting Room
✅ Jiko
✅ Umeme upo
✅ Maji yanapatikana
Nyumba ipo kwenye mazingira mazuri na salama, inafaa kwa makazi ya familia na uwekezaji.
📞 Kwa maelezo zaidi na kuangalia nyumba, piga simu:
0683 665504















