Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA YENYE VYUMBA 3,TSHS.50 MILIONI TU, CHANIKA TALIANI/KIGEZI.

Ni nyumba nzuri ya kisasa
YAKUHAMIA.
Ina Masta 1 na ambayo pia ina Chumba cha pembeni.

Huduma za Umeme na Maji zipo.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________rkmb