Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha kwa Matiasi, Pwani (1863 sqm)


Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri sana inauzwa bei milion 165. Ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 1863. Ina vyumba 3 vya kulala vyumba vyote 3 master bedrooms. Sebule kubwa. Dining room. Jiko. Public toilet. Full document hati ya wizara ya aridhi. Hii nyumba ipo maeneo ya kibaha kwa Matiasi njia ya jeshini
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam















