Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
BOMA JIPYAA ZURI SANA LA VYUMBA VITATU VYA KULALA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA MILIONI 18 TU
==========
π»Lina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja ni Master
π»Sebule kubwa
π»Jiko
π» Public toilet
__________________
βοΈ Lipo kwenye barabara ya mtaa
π Boma limeshapigwa kenchi za mbao za kupaua hapo bado kuweka Mabati tu
π Lipo karibu na chuo cha Mwl NYERERE
βοΈ Unapaua na kuhamia
==========
β
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 500
_____________________
π° BEI MILIONI 18 TU
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#0714972994















