Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Fani City, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 58,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI FANI CITY 🏑

Unatafuta nyumba ya kisasa yenye ubora na bei nafuu? Hii ndiyo nafasi yako!

✨ Sifa za nyumba:
βœ… Vyumba 3 vya kulala – vyote ni Master Bedroom
βœ… Sebule kubwa
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Eneo la kiwanja: SQM 400

πŸ—οΈ Hatua ya ujenzi:
βœ”οΈ Msingi wa kisasa na nyumba imejengwa vizuri
βœ”οΈ Mfumo wa maji na vyoo umewekwa
βœ”οΈ Sinki zimefungwa
βœ”οΈ Paa limeezekwa bati
βœ”οΈ Shimo la choo limekamilika

πŸ“ Mahali: Kigamboni – Fani City
β€’ Kilomita 1 kutoka barabara kuu ya lami
β€’ Kilomita 12 kutoka Feri
β€’ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ“„ Dokumenti: Hati ya Serikali ya Mtaa

πŸ’° Bei: TSh Milioni 58
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ“ž 0769554221
#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #tanzania nia

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam