Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa KIGAMBONI KIBADA, Dar Es Salaam (680 sqm)

Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 48,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Ukubwa
680 SQM
Huduma na Sifa
Chumba cha Msaidizi
Maji
Umeme
Public Toilet
Sebule
Dining
Maelezo
Pagale zuri la Kisasa Na SERVANT COTTA ya Vyumba viwili Vyote Vinauzwa milioni 48 maongezi kidogo yapo 📍 Lipo KIGAMBONI KIBADA Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
▫ Public toilet and Bathroom
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 680
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇ Maji safi yapo umeme upo karibu kabisa
