Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kisarawe II, Dar Es Salaam (450 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 68,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Kitchen
Dining Room
Sitting Room

Maelezo

πŸ”₯🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KISARAWE II πŸ”₯🏑

✨ NYUMBA YA KISASA KWENYE HATUA ZA MWISHO ZA UMALIZIAJI!

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo zuri la Kigamboni – Kisarawe II, eneo tulivu na linalofaa kwa makazi.

🏠 SIFA ZA NYUMBA:
βœ… Vyumba 3, viwili Master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko
πŸ—οΈ Ipo katika hatua za umaliziaji
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 450
πŸ“„ Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa
✨ Nyumba ya kisasa kabisa

πŸ“ UMBALI:
πŸš— Kilomita 1 kutoka Barabara ya Lami
⛴️ Kilomita 9 kutoka Ferry
πŸŒ‰ Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 68
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ Usikose fursa hii! Nyumba nzuri, eneo zuri na nafasi ya kuimalizia kwa style yako mwenyewe.

πŸ“ž Wasiliana nasi:
πŸ“Service Charge 30’000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio
Nyumba yakuuza Kigamboni
Nyumba yakununua Kigamboni
Viwanja vya kununua kigamboni
Viwanja vyakuuza Kigamboni
Dalali kigamboni inzima

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Dalali Kigamboni mbavu