Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mjimwema, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 55,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

400 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Sitting Room
Kitchen

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KUANZIA MAISHA INAUZWA – KIGAMBONI MJIMWEMA (KIBUGUMO)

Unatafuta nyumba nzuri ya kuanza maisha? Hii hapa fursa adimu!

✨ Sifa za Nyumba:
🔹 Vyumba 3 (Kimoja Master)
🔹 Sebule kubwa na jiko
🔹 Eneo la ukubwa wa SQM 400
🔹 Mazingira tulivu na salama

📄 Umiliki:
✔️ Hati ya Serikali ya Mtaa

💰 Bei: Milioni 55 (Mazungumzo yapo)

📞 Wasiliana sasa kuona nyumba:
0769554221

#trendingvideos #tanzania #istagram #realestateagent #trendingaudio