Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (300 sqm)

video thumbnail
Sh. 80,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Bafu

1

Ukubwa

300 SQM

Huduma na Sifa

Maji
Sebule
Jiko
Public Toilet
Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 80 maongezi
yapo Ipo *KINYEREZI MWISHO* - STENDI MPYA... Dar es salaam - Tanzania

∆ Ina Vyumba Vitatu vya Kulala
∆ Sitting Room
∆ big Kitchen
∆ Public Toilet

∆ Ukubwa wa kiwanja: sqmt 300
document (Hati
miliki kutoka serikali ya mtaa)
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
NYUMBA INAUZWA MILIONS 80..MAONGEZI YAPO

∆ Maji Safi dawasco

∆ Nyumba haina mgogoro wowote utafanya biashara na mwenye nyumba......

kwa mawasiliano zaidi simu no 0658233281...0767078162 what app)
0652488062...0687713101....

Service charge ..30000/=

Follow me dalali Richard kinyerezi yote....au Dalali_richard_tabata_yote.....Instagram & Facebook & tiktok....

Napatikana kinyerezi mwisho....dares salaam..Tanzania...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏