Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 70,000,000

Maelezo

NYUMBA YENYE VYUMBA 3,TZS.70 MILIONI, MBAGALA-CHAMAZI.

Ni nyumba mpya.
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Maji yapo na Parking yakutosha.

__________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

__________________rK

Matangazo yanayofanana Chamazi, Dar Es Salaam