Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen stoo toilet Public nyumba ina boikota ya chumba 1 nyumba ina kisima cha Maji nyumba bei ml 95




















