Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA INAUZWA – TABATA SEGEREA 🏡

Unatafuta nyumba ya kuhamia mara moja au fursa ya uwekezaji? Hii ndiyo nafasi yako!

📍 Mahali: Tabata Segerea
🛣️ Umbali: Kilomita 1 tu kutoka kituoni, barabara inafikika kwa urahisi mwaka mzima.

Sifa za Nyumba:

✅ Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko
✅ Choo cha wageni (Public Toilet)
✅ Maji na umeme vipo
✅ Parking ya gari 1
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu

Fursa ya Uwekezaji

Nyumba hii inafaa kwa:
🏠 Makazi binafsi – Hamia na familia yako mara moja.

💼 Uwekezaji – Malizia finishing kwa ubora unaoutaka, kisha ipangishe kwa kati ya TSh 700,000 hadi TSh 1,000,000 kwa mwezi, kutegemeana na kiwango cha finishing utakachoweka. Eneo lina mahitaji makubwa ya wapangaji, hivyo ni fursa nzuri ya kuongeza kipato.

💰 Bei: TSh 45,000,000 tu.
Service charge 30,000/=.

📞 Mhitaji piga simu:

Karibu sana ndugu mteja tufanye biashara!

Dalali Tabata

dalaliwakishua

@dalaliwakishua

View Listings

Matangazo mengine Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 beds2 bathshouse
Dalali Tabata