Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 60,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA MBILI ZA BIASHARA KWA BEI YA MOJA ZINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (Viwanja vya Benki)

Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji mali yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha kipato kwa kupanga vizuri matumizi ya nyumba.

📍 Zipo Tabata Segerea Mwisho – Viwanja vya benki, takriban kilomita 1.5 kutoka barabara ya lami.

✅ Nyumba 2 zipo ndani ya eneo moja
✅ Kila nyumba ina:

* Vyumba 3 (kimoja master)
* Sebule
* Jikoni
* Choo cha wageni (public toilet)

📐 Eneo lina ukubwa wa sqm 400

💡 Kwa mwekezaji mwenye maono, nyumba hizi zinaweza kukamilishwa na kupangishwa kama zilivyo au kufanyiwa maboresho na kugawanywa katika vyumba vingi vya master. Kwa upangaji mzuri wa nafasi, kila nyumba inaweza kupata hadi vyumba 6 vya master, hivyo jumla ya vyumba vya master vinaweza kufikia 12.

💰 Maeneo hayo chumba cha master hupangishwa kati ya TSh 100,000 – 130,000 kwa mwezi kulingana na ubora wa finishing.

📈 Hii ni fursa ya kupata mapato ya kudumu ya kodi pamoja na ongezeko la thamani ya mali kadri eneo linavyoendelea kukua.

💰 Bei: TSh 60,000,000 tu (Milioni 60)

Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/=

📞 Muhitaji piga: +255688412890

“Dalali wako Wakishua” 🏡✨

Matangazo yanayofanana Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds4 baths460 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds4 baths460 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

For Sale3 beds110 sqm
  • Hati

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 450,000,000

For Sale3 beds2 baths450 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • CCTV

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (110 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale3 beds110 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Makabati ya Jiko

  • Dining

  • Public Toilet

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale3 beds2 baths450 sqmhouse
  • Makabati ya Jiko

  • Dining

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 450,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Umeme

  • Luku Inajitegemea

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 450,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Jiko

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Umeme

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Sh. 750,000,000

For Sale6 beds2 baths1,800 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Kisima

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Sh. 750,000,000

For Sale6 beds1,800 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Public Toilet

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea Shule, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale2 beds1,000 sqmapartment
  • Hati

  • Uzio

  • Ndani ya Compound

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea Shule, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale2 beds2 baths1,000 sqmapartment
  • Hati

  • Uzio

  • Ndani ya Compound