Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Center, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
ALONE-GOBA CENTER
DAR ES SALAAM
INAPANGISHWA STAND
Kodi: Tsh Laki 700,000/= kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
** Sifa za nyumba:
• Vyumba 2 vikubwa vya kulala ni Master
• Sebule kubwa na Jiko lenye makabati
• Bafu la ndani na la public
• Gypsum, Tiles, na Windows za Slides
• Umeme wa Luku binafsi
• Maji ya bomba saa 24
• Parking space ipo
• Nje imepangwa kwa Paving blocks
• Nyumba imezungushiwa uzio (Fenced)
Nione dalalimbezibeach _rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu 🙏🙏















