Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia 4, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
700m
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
#STANDALONE YA #KIFAMILIA INAPANGISHWA #GOBA_NJIA_4 MITA 700 TOKA #LAMI
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko la nguvu
Choo cha familia
Parking
Fensi ya Umeme
Mazingira tulivu mnoo
Makabati vyumbani
Friji unakuta
Maji mita yko
Ac
Heater
__
Kodi 1,000,000/= × 7
Dalali mwezi 1
Kuona site 30 elf
#0625584914















