Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Jumbi, Zanzibar - Unguja South

Maelezo
NYUMBA YA VYUMBA VIWILI INAPANGISHWA JUMBI JUU YA KILIMA
#unguja #zanzibar
Vyumba 2 (Unaweza kufanya chumba kimoja kuwa sebule)
Jiko
Maji (Kisima)
Fensi
Bei Tsh 300,000/- Laki tatu kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
What's App/Call 0653007438
#kjmfaachomtuchake
#mtegemechanduguhufamaskini













