Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kawe Kanisani, Dar Es Salaam
Kawe, Dar Es Salaam
58 minutes ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
House for rent (2bedroom
kali sana
Ipo kwenye mazingira mazuri sana
Chumba kimoja mastar public toylete
Inajitegemea umeme na maji
Zipo 3 kwenye fence
Location kawe kanisani dk 3 tu lami
Tsh 400,000/= Kwa mwezi (4miezi)
Angalizo :nyumba inatakiwa mtu mstaarabu kwa maelezo zaidi
Piga sm
Kuiona 30k
dalali_godwin_kawe_mbezbe_goba















