Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡NYUMBA INAPANGISHWA
(Ipo kwenye Finishing)
📍Kigamboni-Kibada
💰400,000 Kwa mwezi
■Vyumba viwili vya kulala(Vyote Master)
■Sebule kubwa
■Jiko linarekebishwa
✅Fenced & Parking
✍️SERVICE CHARGE/VIEWING CHARGE 20,000/=
(Inatolewa Kama usipolipia Nyumba)
⚠️Zingatia Utaratibu Tajiri!
☎️0621393139(WhatsApp/Call/Text)
📲0769063139(Call/Text)
#kigamboni #dar_es_salaam #nyumbadareslaam #dalali #realestate_tanzania















