Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Kibamba, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 200,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kibamba shule km2
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















