Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Kali zinapatikana kigamboni
~>Oc kigamboni geza ulole
✅Vyunba 2 vya kulala
✅Chumba kimoja ninmaster
✅Seble jiko na pablic toilet
✅Nyumba Ina fensi
✅Nyumba Ina parking
✅Nyumba iponkalibu na barabarani
asking price 400k per month
malipo miez 6
dalali mwez mmoja
~> service charger 20k
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















