Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡
Wahi mapema upate nyumba kali kwa bei nafuu!
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Kimoja ni Master Bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko
✅ Ndani ya fence kwa usalama wa kutosha
✅ Eneo la parking kwa magari
✅ Mazingira tulivu na salama
💰 Bei: TSh 450,000 kwa mwezi
Karibu sana kwa mawasiliano na kuona nyumba.
#NyumbaInapangishwa #Kigamboni #Kisiwani #StandAloneHouse #HouseForRent DarEsSalaam Parking MasterBedroom NyumbaBora RealEstateTZ NyumbaZaKupanga NdaniYaFence UsalamaKwanza KigamboniHomes TanzaniaHomes 🏡🔑dalalisimbakisiwani















