Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
6 days ago
Sh. 300,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Uzio
Parking Space
Public Toilet
Jiko
Maelezo
Sio ya kuacha!! VYUMBA VIWILI SEBULE JIKO & PUBLIC TOILET
-Maji na umeme unajitegemea
-usalama
-fence& parking
-huduma zote za kijamil zpo karibu
-Sio mbali sana barabar kwa mguu dk 15 boda 1000 bajaj 500
Kodi 300,000x6
300Kx6Month advpayment
📍KIMARA MWISHO
☎️+255783990406
#steelbighomes
