Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Huduma na Sifa
Maelezo
Vyumba v2 sebule choo public ndan na jiko
Kod 250000 x4,5,6
Nyumba ipo ndan ya fanc parking kubwa sana
Umeme na maji inajitegemea
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 usafili bajaji boda daladala
Galama za kupelekwa 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
###0655256419
###0688617926















