Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani na pabrck ya ndani ipo Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
kwa mwezi ni kodi ya laki tatu tuu/=
(300,000)
X 6
##0655256419
##0688617926















