Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
HAPA KUNA NYUMBA MBILI TOFAUTI
1) chumba sebule na choo chake ndani na jiko zuri ndani na pabrck ya ndani kwa jiri ya yageni wako
Chumba chake ni kikubwa sana sita kwa sita 3 zinakaa chumbani
Inajitegemea umeme NA maji
KWA MWEZI NI (300,000)
X 6
============
============
2) nyumba ya vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom na jiko zuri ndani na pabrck ya ndani ipo
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani
ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO NI
===============
(350,000)
X 6
CALL
0715949085















