Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi Kwa Ditopile, Dar Es Salaam
Kinyerezi, Dar Es Salaam
8 hours ago
Sh. 400,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
1
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Vyumba 2 Vya Kulala Master Jiko Sebule Dinning Na Public Toilet Inapangishwa Bei 400k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Mpangajj Anatoka Mwisho Wa Mwezi Huu Malipo Ruksa.Ila Kuna Ukarabati Kidogo Wa Sehemu Ya Kuingia Gari Kwa Sasa Gari Haiingii.















