Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kiseke, Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi 450,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi sita (6)
-nyumba ya tatu (3) kutoka lami
📞 0743 220097















